Kirapa
Mandhari
Kirapa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Warapa kwenye kisiwa cha Rapa Iti. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kirapa imehesabiwa kuwa watu 300. Warapa wengi wanatumia lugha ya Kitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kirapa iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirapa iko katika kundi la Kioseaniki. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kiaustral.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kirapa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kirapa
- lugha ya Kirapa katika Glottolog
- lugha ya Kirapa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kirapa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |