Kihuba
Mandhari
Kihuba ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wahuba. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kihuba imehesabiwa kuwa watu 175,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihuba iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kihuba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihuba Archived 5 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kihuba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hbb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |