Nenda kwa yaliyomo

Kigbe-Ayizo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kigbe-Ayizo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wagbe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigbe-Ayizo imehesabiwa kuwa watu 227,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigbe-Ayizo iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigbe-Ayizo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.