Kibende
Mandhari
Kibende ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wabende. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kibende imehesabiwa kuwa watu 27,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibende iko katika kundi la F10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kibende kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibende Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibende katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bdp
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kibende)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibende kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |