Kibanda cha mtandao
Mandhari
Kibanda cha mtandao (kwa kiingereza: internet café) ni pahali ambapo watu wanaweza kutumia mtandao kwa kulipa huduma hiyo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.