Kizurizuri
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kiawara (samaki))
Kizurizuri | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Domodomo wa Peters (Gnathonemus petersii)
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Spishi 46, 5 katika Afrika ya Mashariki:
|
Kizurizuri ni samaki wa maji baridi wa nusufamilia Petrocephalinae katika familia Mormyridae na ngeli Actinopterygii (mapezi yenye mihimili) ambao wanatokea Afrika tu. Nusufamilia hii ina jenasi moja, Petrocephalus, yenye spishi 46. Spishi hizi hazina pua ndefu na mdomo wa chini ni mfupi, lakini zina ogani za umeme kama binamu katika nusufamilia Mormyrinae. Kwa hivyo ubongonyuma wao ni mkubwa pia na unatumia nishati nyingi (tazama domodomo).
Spishi za Afrika ya Mashariki
[hariri | hariri chanzo]- Petrocephalus catostoma, Kizurizuri wa Rovuma au Ntachi (Chuchill)
- Petrocephalus degeni, Kizurizuri wa Katonga (Katonga River mormyrid)
- Petrocephalus steindachneri, Kizurizuri wa Msola (Msola mormyrid)
- Petrocephalus stuhlmanni, Kizurizuri wa Kingani (Kingani mormyrid)
- Petrocephalus tanensis, Kizurizuri wa Tana au Kiawara (Tana River churchill)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Rashid Anam & Edoardo Mostarda (2012) Field identification guide for the living marine resources of Kenya. FAO, Rome.
- Gabriella Bianchi (1985) Field guide to the commercial marine brackish-water species of Tanzania. FAO, Rome.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kizurizuri kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |