Nenda kwa yaliyomo

Kialur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kialur ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda inayozungumzwa na Waalur. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kialur nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 750,000, na 2002 kulikuwa na wasemaji 617,000 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialur iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialur kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.