Kiaheu
Mandhari
Kiaheu ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uthai na Laos inayozungumzwa na Waaheu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiaheu imehesabiwa kuwa watu 450 nchini Uthai na wasemaji 250 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiaheu iko katika kundi la Kiviet-Muong.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiaheu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiaheu Archived 11 Agosti 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiaheu katika Glottolog
- lugha ya Kiaheu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiaheu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |