Kenya Revenue Authority
Kenya Revenue Authority (kifupi: KRA) ni shirika la ukusanyaji wa ushuru nchini Kenya. Ilianzishwa 1 Julai 1995 ili kuboresha ukusanyaji wa ushuru kwa niaba ya Serikali ya Kenya. KRA inaskusanya idadi ya ushuru na wajibu, ikiwemo: ushuru ya thamani, ushuru ya mapato na "customs" Tangu kuanzishwa kwa KRA, ukusanyaji wa mapato umeongezeka kwa kasi, na kuwezesha serikali kutoa huduma zinazohitajika zaidi kwa raia wake kama vile, elimu ya msingi ya bure na tiba la HIV kwa wote. Zaidi ya 90% ya ufadhili wa bajeti ya mwaka wa kitaifa huja kutoka ushuru zilizokusanywa na KRA.
Makao makuu ya KRA ndio mkodi mkuu wa Times Tower, ambalo ndilo jengo refu zaidi Afrika Mashariki na Kati. Ujenzi wa jengo hilo ulikamilishwa mwaka wa 1999, na kubadilisha Kenyatta International Conference Centre kama jengo ndefu zaidi mjini Nairobi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Kenya Revenue Authority Archived 5 Januari 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |