Kaunti ya Nairobi
Mandhari
Kaunti ya Nairobi ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 4,397,073 katika eneo la km2 703.9, msongamano ukiwa hivyo wa watu 6,247 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako jijini Nairobi.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Nairobi imegawanywa katika maeneo bunge 17 na kata 85[2].
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Dagoretti 434,208
- Embakasi 988,808
- Kamukunji 268,276
- Kasarani 780,656
- Kibra 185,777
- Lang'ata 197,489
- Makadara 189,536
- Mathare 206,564
- Njiru 626,482
- Starehe 210,423
- Westlands 308,854
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ [1] Archived 19 Machi 2013 at the Wayback Machine
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Nairobi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |