Karne ya 11 KK
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Milenia ya 3 KK |
Milenia ya 2 KK |
Milenia ya 1 KK |
►
◄ |
Karne ya 13 KK |
Karne ya 12 KK |
Karne ya 11 KK |
Karne ya 10 KK |
Karne ya 9 KK |
►
Karne ya 11 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1100 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1001 KK.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1050 KK hivi: Wafilisti wanateka sanduku la Agano kwa Waisraeli
- 1003 KK: mfalme Daudi anashika nafasi ya Sauli na kuteka Yerusalemu
Watu muhimu
[hariri | hariri chanzo]- Samweli, mwamuzi na nabii aliyewapaka mafuta wafalme wa kwanza wa Israeli: Sauli, halafu Daudi
- Sauli, mfalme wa kwanza wa Israeli
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 11 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |