Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi
Mandhari
Jimbo katoliki la Tunduru-Masasi (kwa Kilatini "Dioecesis Tunduruensis-Masasiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.
Askofu wake alikuwa Castor Paul Msemwa.
Historia
[hariri | hariri chanzo]- 1986: Kuanzishwa kwa jimbo ya Tunduru-Masasi kutokana na jimbo ya Nachingwea
Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wa Tunduru-Masasi
- Castor Paul Msemwa (2005 - 2017)
- Magnus Mwalunyungu (1992 – 2005)
- Polycarp Pengo (1986 – 1990)
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 22,730, ambapo kati ya wakazi 725,000 (2006) Wakatoliki ni 101,114 (13.9%).
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |