Irene Guerrero
Mandhari
Irene Guerrero Sanmartín (alizaliwa 12 Desemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania,ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Hispania.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Spain - Irene Guerrero - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-29.
- ↑ UEFA.com. "Irene Guerrero | UEFA Champions League 2023/24". UEFA.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Irene Guerrero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |