Hugo wa Novara
Mandhari
Hugo wa Novara, O.Cist. (pia: Hug, Ugo; Ufaransa, karne ya 11 - Novara di Sicilia, leo nchini Italia, 17 Novemba 1170 hivi) alikuwa mfuasi wa Bernardo wa Clairvaux katika urekebisho wa Wabenedikto wa Citeaux.
Ndiye aliyemtuma Italia mwaka 1137 ili aanzishe monasteri karibu na Novara di Sicilia na kuwa abati wake wa kwanza [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Novemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |