Fiqhi
Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya |
Imani na ibada zake |
Umoja wa Mungu |
Waislamu muhimu |
Abu Bakr • Ali |
Maandiko na Sheria |
Qur'an • Sunnah • Hadithi |
Historia ya Uislamu |
Historia |
Tamaduni za Kiislamu |
Shule • Madrasa |
Tazama pia |
Fiqhi (kutoka Kiarabu الِفقه al-fiqah) ni elimu ya sheria ya Kiislamu.
Waislamu huamini ya kwamba Mungu alifunulia sheria zake kwa binadamu katika Kurani na Sunna yaani maneno na matendo ya Mtume Mohamed.
Fiqhi ni juhudi ya wataalamu kati ya waumini kueleza maana ya kanuni zake na kujadili jinsi ya kuzitumia katika mazingira mbalimbali ambako Waislamu wanaishi.
Elimu hii inaendelea kukua kwa njia ya maswali yanayopelekwa mbele ya mtaalamu na maazimio yake (fatwa).
Marejeo
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |