Eneo bunge la Westlands
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Westlands ni eneo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo kati ya maeneo bunge kumi na saba ya Kaunti ya Nairobi. Eneo la bunge hili lote liko ndani ya eneo la Baraza la Mji wa Nairobi. Lilikuwa linajulikana kama Eneo bunge la Kaskazini mashariki mwa Nairobi katika uchaguzi wa mwaka wa 1963,kisha kama Eneo bunge la Parklands na tangu uchaguzi wa mwaka wa 1988, limejulikana kama eneo bunge la Westlands.
Eneo bunge la Westlands lina baadhi ya maeneo ya mapato ya juu mjini Nairobi, vilevile maeneo duni kama Kangemi.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Fitz Remedios Santana de Souza | KANU | |
1969 | Samuel Kivuitu | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1974 | Isaac Waweru | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1979 | Krishan Chander Gautama | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1983 | Samuel Kivuitu | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1988 | Njoroge Mungai | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1992 | Amin Walji | KANU | Walji alifariki akiwa mbunge[2] |
1994 | Fred Gumo | KANU | Uchaguzi mdogo |
1997 | Fred Gumo | KANU | |
2002 | Fred Gumo | NARC | |
2007 | Fred Gumo | ODM | Gumo 35,821; Tett 24,863; Mueke 5501; Pattni 4586 |
Tarafa na kata
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Tarafa | Idadi ya Watu |
---|---|
Highridge | 65,268 |
Kangemi | 82,964 |
Kilimani | 61,290 |
Kitisuru | 38,424 |
Lavington | 26,540 |
Parklands | 16,031 |
Jumla | x |
Septemba 2005 | [3]Civic Elections Results (2005) |
Kata | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Highridge | 26,875 |
Kangemi | 24,239 |
Kileleshwa | 17,064 |
Kilimani | 29,684 |
Kitisuru | 17,143 |
Parklands | 20,114 |
Jumla | 135,119 |
Septemba 2005 | [3] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy:Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ [1] ^ Daily Nation, 18 Machi 2002: Mwau akitazama uchaguzi wa miunganao uliopita
- ↑ 3.0 3.1 Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Uchaguzikenya.com - mengi kuhusu Eneo bunge la Westlands Archived 27 Julai 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Westlands kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |