Embu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Embu, Kenya)
Embu | |
Mahali pa mji wa Embu katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°32′0″S 37°27′0″E / 0.53333°S 37.45000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Embu |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 60,673 |
Embu ni mji wa Kenya upande wa kusini-mashariki wa Mlima Kenya. Umbali na Nairobi ni km 120. Embu ni makao makuu ya Kaunti ya Embu.
Mji uko kwenye kimo cha mita 1,350 juu ya UB. Uliundwa na walowezi Waingereza mnamo mwaka 1906.
Wakazi walikuwa 60,673 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Kuna asilimia kubwa ya watumishi wa serikali hapa wanaofanya kazi kwenye ofisi na shule nyingi zilizopo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.