Nenda kwa yaliyomo

Dunkerque

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji wa Dunkerque






Dunkerque

Bendera
Dunkerque is located in Ufaransa
Dunkerque
Dunkerque

Mahali pa mji wa Dunkerque katika Ufaransa

Majiranukta: 51°02′18″N 2°22′39″E / 51.03833°N 2.37750°E / 51.03833; 2.37750
Nchi Ufaransa
Mkoa Nord-Pas-de-Calais
Wilaya Nord
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 265,974
Tovuti:  www.ville-dunkerque.fr

Dunkerque (kwa Kiing.: Dunkirk) ni mji wa Ufaransa katika Nord-Pas-de-Calais.

Mji huo ni bandari kwenye mwambao wa Mfereji wa Kiingereza.

Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia kulitokea hapo mapigano ya Dunkirk ya 1939 ambapo wanajeshi laki tatu wakiwemo Waingereza na Wafaransa walizingirwa na Wajerumani. Ujerumani ilisimamisha wanajeshi wake kwa muda na Uingereza ilitumia nafasi hiyo kutuma meli na maboti mengi Dunkirk ikafaulu kuokoa sehemu kubwa ya askari zake.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dunkerque kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.