Nenda kwa yaliyomo

Dexrazoxane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dexrazoxane
Jina la Utaratibu la (IUPAC)
4-[(2S)-2-(3,5-Dioxopiperazin-1-yl)propyl]piperazine-2,6-dione
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Zinecard, Cardioxane, na mengineyo
AHFS/Drugs.com Monograph
MedlinePlus a609010
Taarifa za leseni EMA:[[[:Kigezo:EMA-EPAR]] Link]US Daily Med:link
Kategoria ya ujauzito ?(US)
Hali ya kisheria ? (US)
Njia mbalimbali za matumizi Kwa mishipa
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Visawe Dexrazoxane hydrochloride
Data ya kikemikali
Fomyula C11H16N4O4 
 YesY(Hiki ni nini?)  (thibitisha)

Dexrazoxane, inayouzwa kwa jina la chapa Zinecard miongoni mwa mengine, ni dawa inayotumika kuzuia ugonjwa wa moyo (cardiomyopathy) unaosababishwa na doxorubicin na katika kutoka nje ya mshipa kwa anthracyclines.[1][2] Inatolewa kwa njia ya sindano kwenye mshipa.[1]

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maumivu kwenye mahali pa sindano, kichefuchefu na kuhara.[3][1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha kupunguka kwa uzalishaji wa seli za damu.[3] Kwa watoto, inaweza kuongeza hatari ya saratani zaidi.[4] Ni dawa ya kupinga athari mbaya za anthracyclines (madawa ya kutibu saratani).[2]

Dexrazoxane iligunduliwa mwaka wa 1972.[4] Iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 1995, na Ulaya mwaka wa 2006.[1][2] Nchini Marekani, miligramu 500 iligharimu takriban dola 420 kufikia 2021.[5] Kiasi hiki nchini Uingereza ni takriban £160.[6]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 "Dexrazoxane Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Mei 2021. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; name "AHFS2021" defined multiple times with different content
  2. 2.0 2.1 2.2 "Savene". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; name "EPAR2021" defined multiple times with different content
  3. 3.0 3.1 "DailyMed - DEXRAZOXANE- dexrazoxane for injection injection, powder, lyophilized, for solution". dailymed.nlm.nih.gov. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Machi 2021. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. 4.0 4.1 Kim, Kyu-Won; Roh, Jae Kyung; Wee, Hee-Jun; Kim, Chan (14 Novemba 2016). Cancer Drug Discovery: Science and History (kwa Kiingereza). Springer. uk. 250. ISBN 978-94-024-0844-7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2022. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; name "Kim2016" defined multiple times with different content
  5. "Dexrazoxane Prices, Coupons & Patient Assistance Programs". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 984. ISBN 978-0857114105.