David Politzer
Mandhari
Hugh David Politzer (amezaliwa 31 Agosti, 1949) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza nadharia ya kwanta. Mwaka wa 2004, pamoja na David Gross na Frank Wilczek, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Politzer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |