Chuo Kikuu cha Marburg
Chuo Kikuu cha Marburg (kwa Kijerumani: Philipps-Universität Marburg) ilianzishwa mwaka wa 1527 na Philip I, mtemi wa Hesse. Ni kimojawapo cha vyuo vikuu vya kale zaidi vya Ujerumani. Kilianzishwa kama chuo kikuu cha Kiprotestanti miaka michache baada ya matengenezo ya Martin Luther. Sasa ni chuo kikuu cha umma cha jimbo la Hesse, bila tabia ya kidini.
Chuo Kikuu cha Marburg kina wanafunzi wapatao 23,500 na wafanyakazi 7,500. Kiko katika mji wa Marburg wenye wakazi 76,000; hivyo wanafunzi na waajiriwa wa chuo kikuu ni sehemu muhimu ya uchumi wa mji wote. Majengo ya chuo kikuu yamesambaa kote kwenye mji.
Karibu asilimia 14 za wanafunzi si Wajerumani ambayo ni asilimia kubwa zaidi ya wanafunzi wa kimataifa nchini Hesse. [1]
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Idara ya Mafunzo ya Uchumi
-
Idara ya Saikolojia
-
Lahnberge Campus
-
Jengo la Idara ya Biolojia iliyo karibu ni ya mtindo sawa wa usanifu
-
Hospitali ya Chuo Kikuu pamoja na Idara ya Mafunzo ya Matibabu pia iko katika Kampasi ya Lahnberge
-
Chuo Kikuu cha Kale, makazi ya kanisa la chuo kikuu, idara ya masomo ya kidini na ukumbi wa mihadhara mwakilishi
-
Makao makuu ya utawala ya chuo kikuu
-
Jengo Kuu la Ukumbi wa Mihadhara, ambalo limejengwa ili kukidhi ongezeko la wanafunzi
-
Maktaba ya chuo kikuu
-
Chuo Kikuu cha Marburg - Idara ya Sayansi ya Jamii na maktaba ya Chuo Kikuu cha zamani
-
Moja ya mikahawa miwili mikubwa ya chuo kikuu na canteens iko kwenye ukingo wa mto Lahn
Wahitimu mashuhuri na kitivo
[hariri | hariri chanzo]Wataalamu wa sayansi asilia
[hariri | hariri chanzo]
- Ludwig Aschoff
- Emil von Behring
- Karl Ferdinand Braun
- Klaus Bringmann
- Robert Bunsen
- Adolf Butenandt
- Georg Ludwig Carius
- Franz Ludwig Fick
- Hans Fischer
- Edward Frankland
- Frederick Augustus Genth
- Johann Peter Griess
- Karl Eugen Guthe
- Otto Hahn
- Johannes Hartmann
- Thomas Archer Hirst
- Erich Hückel
- Kathrin Jansen
- Hermann Knoblauch
- Hermann Kolbe
- Albrecht Kossel
- Ulrich Lemmer
- Otto Loewi
- Carl Ludwig
- Hans Meerwein
- Ludwig Mond
- Denis Papin
- Heinrich Petraeus (1589–1620)
- Otto Schindewolf
- Thorsten M. Schlaeger
- Sunao Tawara
- John Tyndall
- Wilhelm Walcher
- Alfred Wegener
- Georg Wittig
- Alexandre Yersin
- Karl Ziegler
- Theodor Zincke
- Adolf Fick
Wanatheolojia
[hariri | hariri chanzo]Marburg ilijulikana tangu mwanzoni kama chuo kikuu kinachozingatia sayansi za jamii. Ilihifadhi umaarufu huo hasa katika falsafa na theolojia kwa muda mrefu baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia .
Wanafalsafa
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Uni International – Philipps-Universität Marburg". Iliwekwa mnamo 21 Julai 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)