Nenda kwa yaliyomo

Careless Whisper

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Careless Whisper”
“Careless Whisper” cover
Single ya George Michael
kutoka katika albamu ya Make It Big
Imetolewa 24 Julai 1984 (1984-07-24)
Muundo
Imerekodiwa 1984
Aina Pop[1]
Urefu
Studio
Mtunzi
Mtayarishaji George Michael



"Careless Whisper"
(1984)
"A Different Corner"
(1986)
Video ya muziki
"Careless Whisper" katika YouTube

"Careless Whisper" ni wimbo wenye mahadhi ya ballad na pop kutoka kwa mtunzi na mwimbaji wa Uingereza George Michael na mshirika mwenzake wa Wham! Andrew Ridgeley (wakati mwingine huitwa "Wham! wakishirikiana na George Michael" huko nchini Japani, Kanada na Marekani).

Wimbo ulitolewa mnamo 24 Julai 1984, kupitia studio za Epic Records kwa nchini Uingereza, Japani na nchi nyengine, na kwa Amerika ya Kaskazini kazi ilisambazwa na Columbia Records. Wimbo huu ndio wa kwanza kwa George Michael kutoa akiwa kama msanii wa kujitegemea, ijapokuwa alikuwa bado anatumbuiza na Wham! wakati huo maana hata wimbo umetiwa kwenye albamu ya Wham! Make It Big).

Wimbo una saxofoni maarufu, na umepata kurudiwa na wasanii kadha wa kadha tangu kutolewa kwake. Wimbo ulitolewa kama singo na ukaja kubamba ile mbaya katika soko kote Atlantiki na Pasifiki. Wimbo ulishika nafasi ya kwanza katika takriban 25, huku ukiuza nakala milioni sita dunia nzima – milioni pekee ikiwa Marekani.[2]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

All songs written and composed by George Michael and Andrew Ridgeley

7": Epic / A 4603 (UK)
No. Jina Urefu
1. "Careless Whisper" (Single Edit) 5:04
2. "Careless Whisper" (Instrumental) 5:02
12": Epic / TA4603 (UK)
No. Jina Urefu
1. "Careless Whisper" (Extended Mix) 6:31
2. "Careless Whisper" (Instrumental) 5:02
12": Columbia / 44-05170 (US)
No. Jina Urefu
1. "Careless Whisper" (Extended Mix) 6:20
2. "Careless Whisper" (Instrumental) 4:52
12": Columbia Promotional / AS-1980 (US)
No. Jina Urefu
1. "Careless Whisper"   4:50
2. "Careless Whisper"   4:50
12" maxi: Epic / QTA 4603 (UK) – Special Edition
No. Jina Urefu
1. "Careless Whisper" (Extended Mix) 6:31
2. "Careless Whisper" (Jerry Wexler Special Version) 5:34
3. "Careless Whisper" (Condensed Instrumental Version) 4:52
  • Angalizo: Extended Mix inafanana na toleo la katika Make It Big.

Waliohusika

[hariri | hariri chanzo]

Chati za kila wiki

[hariri | hariri chanzo]
Chati (1984–2017) Nafasi
iliyoshika
Australia (Kent Music Report)[3] 1
Austria (Ö3 Austria Top 75)[4] 2
Belgium (Ultratop 50 Flanders)[5] 2
1
1
Canada (The Record's Retail Singles Chart)[6] 2
Finland (Suomen virallinen lista)[7] 2
France (SNEP)[8] 3
3
Hungary (Single Top 10)[9] 10
1
Israel (Media Forest)[10] 4
Italy (Hit Parade)[11] 1
Japan (Japan Hot 100)[12] 31
Japan (Oricon)[13] 12
Netherlands (Dutch Top 40)[14] 1
Netherlands (Mega Single Top 100)[15] 1
New Zealand (RIANZ)[16] 3
Norway (VG-lista)[17] 2
52
Slovenia (SloTop50)[18] 29
Spain (PROMUSICAE)[19] 11
Sweden (Sverigetopplistan)[20] 2
Switzerland (Schweizer Hitparade)[21] 1
UK Singles (The Official Charts Company)[22] 1
US Billboard Hot 100[23] 1
US Adult Contemporary (Billboard)[24] 1
US Hot Dance Singles Sales (Billboard) 3
US Hot R&B/Hip-Hop Songs (Billboard)[25] 8

Chati za mwishoni mwa mwaka

[hariri | hariri chanzo]
Chati (1984) Nafasi
Australia[26] 4
New Zealand[27] 10
UK[28] 5
Chart (1985) Position
Canada[29] 2
US Billboard Hot 100[30] 1

  1. Greenwald, Ted (1992). Rock and Roll: The Music, Musicians, and the Mania. Mallard Press. uk. 31.
  2. "George Michael: 50 years in numbers". The Daily Telegraph. Telegraph Media Group. 25 Juni 2013. Iliwekwa mnamo 28 Januari 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Australian Top 50 Chart Week Ending 23rd September, 1984". Australian Recording Industry Association. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "George Michael – Careless Whisper Austriancharts.at" (in German). Ö3 Austria Top 40. Hung Medien. Retrieved 19 November 2017.
  5. "Ultratop.be – George Michael – Careless Whisper" (in Dutch). Ultratop 50. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved 19 November 2017.
  6. "Hits of the World" (PDF). Billboard. 2 Februari 1985. uk. 80. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Singlet 1984-11 marraskuu" (kwa Finnish). Musiikkituottajat – IFPI Finland. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-24. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  8. "Lescharts.com – George Michael – Careless Whisper" (in French). Les classement single. Hung Medien. Retrieved 19 November 2017.
  9. "Archívum – Slágerlisták – MAHASZ – Magyar Hanglemezkiadók Szövetsége" (in Hungarian). Single (track) Top 10 lista. Magyar Hanglemezkiadók Szövetsége. Retrieved 19 November 2017.
  10. "Media Forest weekly chart (year 2016 week 52)". Media Forest. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-05. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Indice per Interprete: W: Wham" (kwa Italian). Hit Parade Italia. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  12. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call."George Michael Album & Song Chart History" Japan Hot 100 for George Michael. Prometheus Global Media. Retrieved 22 November 2017.
  13. ワム!のランキング (kwa Japanese). Oricon. Iliwekwa mnamo 19 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  14. "Nederlandse Top 40 – week 36, 1984" (in Dutch). Dutch Top 40 Stichting Nederlandse Top 40. Retrieved 19 November 2017.
  15. "Dutchcharts.nl – George Michael – Careless Whisper" (in Dutch). Mega Single Top 100. Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved 19 November 2017.
  16. "Charts.org.nz – George Michael – Careless Whisper". Top 40 Singles. Hung Medien. Retrieved 19 November 2017.
  17. "Norwegiancharts.com – George Michael – Careless Whisper". VG-lista. Hung Medien. Retrieved 19 November 2017.
  18. "SloTop50: Slovenian official singles weekly chart" (kwa Slovenian). SloTop50. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-22. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  19. Fernando Salaverri (Septemba 2005). Sólo éxitos: año a año, 1959–2002 (tol. la 1st). Spain: Fundación Autor-SGAE. ISBN 84-8048-639-2.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  20. "Swedishcharts.com – George Michael – Careless Whisper". Singles Top 60. Hung Medien. Retrieved 19 November 2017.
  21. "George Michael – Careless Whisper swisscharts.com". Swiss Singles Chart. Hung Medien. Retrieved 19 November 2017.
  22. "Archive Chart" UK Singles Chart. The Official Charts Company. Retrieved 19 November 2017.
  23. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call."George Michael Album & Song Chart History" Billboard Hot 100 for George Michael. Prometheus Global Media. Retrieved 19 November 2017.
  24. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call. "George Michael Album & Song Chart History" Billboard Adult Contemporary Songs for George Michael. Prometheus Global Media. Retrieved 19 November 2017.
  25. ERROR: Billboard chart was invoked without providing an artist id. Artist id is a mandatory field for this call."George Michael Album & Song Chart History" Billboard R&B/Hip-Hop Songs for George Michael. Prometheus Global Media. Retrieved 19 November 2017.
  26. "Forum – ARIA Charts: Special Occasion Charts – Top 100 End of Year AMR Charts – 1980s". Australian-charts.com. Hung Medien. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Oktoba 2014. Iliwekwa mnamo 23 Desemba 2016. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  27. "The Official New Zealand Music Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-05-11. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  28. "Top 100 1984 – UK Music Charts". Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  29. https://musiccanada.wordpress.com/2015/11/04/top-100-singles-of-1985-in-canada/
  30. "Top 100 Hits of 1985/Top 100 Songs of 1985". Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]