Nenda kwa yaliyomo

Bundesliga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha inayoonyesha mechi ya freistoss dhidi ya RB-salzburg katika mashindano ya ligi ya Bundesliga mwaka 2005.

Bundesliga ni jina linalotumika katika michezo mbalimbali huko Ujerumani na Austria. Mpira wa miguu ni mchezo mashuhuri sana katika nchi hizo mbili. Na ndiyo maana mchezo wa mpira wa miguu unajulikana sana katika nchi hizo kwa jina la Bundesliga.

Timu za mpira zinaingia katika Bundesliga kwa kuwa washindi katika moja kati ya ligi ndogo za nchini humo. Timu itakayoongoza katika msimu wa mashindano hayo inaitwa Meister. Meister ni neno la Kijerumani lenye maana ya bingwa au mshindi. Kisheria, msimu wa michezo ya mpira huwa na kawaida ya kuanza Juni katika mwaka uliopo hadi Juni mwaka unaofuatia. Timu itakayoongoza itategemea na ushindi au pointi walizozipata wakati wa msimu huo. Msimu huo umegawanyika katika sehemu mbili ambazo ni mzunguko wa kwanza na mzunguko wa pili.

Vilabu hamsini na sita vimefanikiwa kushiriki katika ligi hiyo ya Bundesliga tangu kuanzishwa kwake. Bayern Munich imeshinda kombe hilo mara 31. Hata hivyo Bundesliga imekua na mabingwa wengine kama Borussia Dortmund, Hamburger SV, Werder Bremen, Borussia Mönchengladbach, na VfB Stuttgart maarufu zaidi miongoni mwao. Bundesliga ni moja ya ligi kubwa kitaifa zilizoshika nafasi ya nne barani Ulaya kulingana na kiwango cha ubora katika ligi ya UEFA kwa msimu wa 2021-2022. Wachezaji wake wamekusanya tuzo tisa za Ballon d'Or, tuzo mbili za mchezaji bora wa FIFA, Viatu vinne vya dhahabu Ulaya, na tuzo tatu za mchezaji wa mwaka wa UEFA kwa wanaume ikiwa ni pamoja na Mchezaji bora wa Mwaka katika mashindano ya UEFA klabu.[1][2]

Bundesliga ni ligi ya soka namba moja duniani kwa wastani wa mashabiki 45,134 kwa kila mchezo wakati wa msimu wa 2011-12  Bundesliga hutangazwa kwenye televisheni katika nchi zaidi ya 200. Bundesliga ilianzishwa mwaka 1962 katika mji wa Dortmund na msimu wa kwanza ulianza mwaka 1963-64. muundo na shirika la Bundesliga, pamoja na ligi nyingine za soka za Ujerumani, zimefanyika mabadiliko ya mara kwa mara. Bundesliga ilianzishwa na Ujerumani Fußball-Bund. Shirikisho la Soka la Ujerumani), lakini kwa sasa inaendeshwa na Deutsche Fußball Liga.  

Klabu Nafasi katika msimamo wa ligi msimu wa 2021–22 Msimu wa kwanza kucheza Bundesliga Idadi ya misimu aliyocheza Bundesliga Msimu wa kwanza katika ligi ya Bundesliga Idadi ya misimu aliyocheza bila kushuka daraja idadi ya makombe ya ligi ya Bundesliga aliyochukua Ubingwa kimataifa Kombe la ligi la mwisho kuchukua
FC Augsburgb 14th 2011–12 12 2011–12 12 0 0
Bayer Leverkusenb 3rd 1979–80 44 1979–80 44 0 0
Bayern Munichb 1st 1965–66 58 1965–66 58 31 32 2022
VfL Bochum 13th 1971–72 36 2021–22 2 0 0
Borussia Dortmunda 2nd 1963–64 56 1976–77 47 5 8 2012
Borussia Mönchengladbach 10th 1965–66 55 2008–09 15 5 5 1977
Eintracht Frankfurta 11th 1963–64 54 2012–13 11 0 1 1959
SC Freiburg 6th 1993–94 23 2016–17 7 0 0
Hertha BSCa 16th 1963–64 39 2013–14 10 0 2 1931
1899 Hoffenheimb 9th 2008–09 15 2008–09 15 0 0
1. FC Kölna 7th 1963–64 51 2019–20 4 2 3 1978
RB Leipzigb 4th 2016–17 7 2016–17 7 0 0
Mainz 05 8th 2004–05 17 2009–10 14 0 0
Schalke 04a 1st (2. B) 1963–64 54 2022–23 1 0 7 1958
VfB Stuttgarta 15th 1963–64 56 2020–21 3 3 5 2007
Union Berlinb 5th 2019–20 4 2019–20 4 0 0
Werder Bremena 2nd (2. B) 1963–64 58 2022–23 1 4 4 2004
VfL Wolfsburgb 12th 1997–98 26 1997–98 26 1 1 2009

a = Mojawapo ya timu zilizo anzisha ligi ya bundesliga
b = Timu ambayo haijawahi kushuka daraja katika ligi kuu tangu ilipoanzishwa

Timu zilizopo katika msimamo wa ligi kuu ya bundesliga 2022/2023

[hariri | hariri chanzo]
Timu Mahali Uwanja Uwezo wa uwanja kubeba idadi ya watu Ref.
FC Augsburg Augsburg WWK Arena 30,660 [3]
Bayer Leverkusen Leverkusen BayArena 30,210 [3]
Bayern Munich Munich Allianz Arena 75,000 [3]
VfL Bochum Bochum Vonovia Ruhrstadion 27,599 [3]
Werder Bremen Bremen Wohninvest Weserstadion 42,100 [3]
Borussia Dortmund Dortmund Signal Iduna Park 81,359 [4]
Borussia Mönchengladbach Mönchengladbach Stadion im Borussia-Park 59,724 [3]
Eintracht Frankfurt Frankfurt Deutsche Bank Park 51,500 [3]
SC Freiburg Freiburg im Breisgau Europa-Park Stadion 34,700 [3]
Hertha BSC Berlin Olympiastadion 74,649 [3]
1899 Hoffenheim Sinsheim PreZero Arena 30,164 [5]
1. FC Köln Cologne RheinEnergieStadion 49,698 [3]
RB Leipzig Leipzig Red Bull Arena 47,069 [6]
Mainz 05 Mainz Mewa Arena 34,000 [3]
Schalke 04 Gelsenkirchen Veltins-Arena 62,271 [3]
VfB Stuttgart Stuttgart Mercedes-Benz Arena 60,449 [3]
Union Berlin Berlin Stadion An der Alten Försterei 22,012 [3]
VfL Wolfsburg Wolfsburg Volkswagen Arena 30,000 [3]

Uwezo wa klabu

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 2004, heshima ya ujio wa "Verdiente Meistervereine" ilianzishwa kufuatia desturi ya kwanza kufanyika nchini Italia kutambua pande ambazo zimeshinda michuano mitatu au zaidi tangu 1963 kwa kuonyesho nyota za dhahabu kwenye beji(nembo) za jezi za timu zao. Matumizi ya kila nchi ni ya kipekee, na sheria zifuatazo zinatumika nchini Ujerumani:

  • 3 Bundesliga titles: 1 star
  • 5 Bundesliga titles: 2 stars
  • 10 Bundesliga titles: 3 stars
  • 20 Bundesliga titles: 4 stars
  • 30 Bundesliga titles: 5 stars

Idadi ya makombe ya ligi

[hariri | hariri chanzo]
Klabu Washindi Mshindi wa pili kwenye ligi Bingwa wa ligi Misimu aliyoshinda nafasi ya pili kwenye ligi
Bayern Munich 31 10 1968–69, 1971–72, 1972–73, 1973–74, 1979–80, 1980–81, 1984–85, 1985–86, 1986–87, 1988–89, 1989–90, 1993–94, 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2000–01, 2002–03, 2004–05, 2005–06, 2007–08, 2009–10, 2012–13, 2013–14, 2014–15, 2015–16, 2016–17, 2017–18, 2018–19, 2019–20, 2020–21, 2021–22 1969–70, 1970–71, 1987–88, 1990–91, 1992–93, 1995–95, 1997–98, 2003–04, 2008–09, 2011–12
Borussia Dortmund 5 8 1994–95, 1995–96, 2001–02, 2010–11, 2011–12 1965–66, 1991–92, 2012–13, 2013–14, 2015–16, 2018–19, 2019–20, 2021–22
Borussia Mönchengladbach 5 2 1969–70, 1970–71, 1974–75, 1975–76, 1976–77 1973–74, 1977–78
Werder Bremen 4 7 1964–65, 1987–88, 1992–93, 2003–04 1967–68, 1982–83, 1984–85, 1985–86, 1994–95, 2005–06, 2007–08
Hamburger SV 3 5 1978–79, 1981–82, 1982–83 1975–76, 1979–80, 1980–81, 1983–84, 1986–87
VfB Stuttgart 3 2 1983–84, 1991–92, 2006–07 1978–79, 2002–03
1. FC Köln 2 5 1963–64, 1977–78 1964–65, 1972–73, 1981–82, 1988–89, 1989–90
1. FC Kaiserslautern 2 1 1990–91, 1997–98 1993–94
1860 Munich 1 1 1965–66 1966–67
VfL Wolfsburg 1 1 2008–09 2014–15
Eintracht Braunschweig 1 1966–67
1. FC Nürnberg 1 1967–68
Schalke 04 7 1971–72, 1976–77, 2000–01, 2004–05, 2006–07, 2009–10, 2017–18
Bayer Leverkusen 5 1996–97, 1998–99, 1999–2000, 2001–02, 2010–11
RB Leipzig 2 2016–17, 2020–21
Meidericher SV 1 1963–64
Alemannia Aachen 1 1968–69
Hertha BSC 1 1974–75



Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. Cutler, Matt (15 Juni 2010). "Bundesliga attendance reigns supreme despite decrease". Sport Business. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "TV BROADCASTERS WORLDWIDE". Retrieved on 2022-07-29. Archived from the original on 2013-05-20. 
  3. 3.00 3.01 3.02 3.03 3.04 3.05 3.06 3.07 3.08 3.09 3.10 3.11 3.12 3.13 3.14 "Capacity German Bundesliga stadiums 2020/21". Statista.
  4. "Dortmunder Stadion wird ausgebaut" (kwa Kijerumani). Sport1. 16 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 17 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Stadiums in Germany". World stadiums. World stadiums. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2018. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Verein". dierotenbullen.com (kwa Kijerumani). Leipzig: RasenballSport Leipzig GmbH. n.d. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bundesliga kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.