Birdman
Birdman | |
---|---|
| |
Jina Kamili | {{{jina kamili}}} |
Jina la kisanii | Birdman - Baby |
Nchi | Marekani |
Alizaliwa | 15 Februari 1969 |
Aina ya muziki | Hip hop |
Kazi yake | Mwanamuziki Mtayarishaji Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1992 - hadi leo |
Kampuni | Cash Money Records |
Bryan "Baby" Williams (amezaliwa tar. 15 Februari 1969) ni rapa, mtayarishaji na mc kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la "Baby".
Mnamo mwaka 1991, Baby na kaka yake mkubwa - Ronald "Slim" Williams walianzisha studio ya muziki wa hip-hop maarufu kama Cash Money Records. Hapo awali alikuwa akitumuia jina la B-32 (Baby With The 32 Golds) na akatumia jina hilohilo kwa kutoa albamu yake ya kwanza ilioyokwendakwa jina la I Need a Bag of Dope kunako mwaka wa 1993.
Miaka ya usoni, akiwa bado anatumia jina la "Baby", Williams alirekodi albamu kadhaa akiwa na mtayrishaji wa muziki huo Bw. Mannie Fresh kama kundi la Big Tymers na kufanya kazi kama studio yake binafsi na kazi alkadharika.
Kunako tarehe 11 Desemba ya mwaka wa 2007, Williams ametoa albamu yake iitwayo 5 Star Stunna.
Mnamo mwezi wa Novemba 2007, Williams alitiwa mbaroni kwa kosa la kukutanika na fulushi la bangi. Aliachia huru kwa faini ya Dola za Kimarekani zipatazo 1,500.
Muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu zake
[hariri | hariri chanzo]- 1993: I Need a Bag of Dope
- 2002: Birdman
- 2005: Fast Money
- 2007: 5 Star Stunna
Za ushirika
[hariri | hariri chanzo]- 1998: How You Luv That (with Big Tymers)
- 1998: How You Luv That Vol. 2 (akiwa na Big Tymers)
- 1999: Guerrilla Warfare (Hot Boys na Big Tymers)
- 2000: I Got That Work (akiwa na Big Tymers)
- 2002: Hood Rich (akiwa na Big Tymers)
- 2003: Big Money Heavyweight (akiwa na Big Tymers)
- 2006: Like Father, Like Son (akiwa na Lil Wayne)
- 2008: Bald Eagles Fly High (akiwa na Rick Ross)[1]
Filamu
[hariri | hariri chanzo]- 2000: Baller Blockin
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-04-27. Iliwekwa mnamo 2008-07-21.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Birdman 15 more arrested in TN 11-27-07 Ilihifadhiwa 15 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Birdman's official website Ilihifadhiwa 12 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Birdman's official MySpace page
- Cash Money Records official website
- Salon.com article, "Can Lil Wayne save hip-hop?" Ilihifadhiwa 19 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Birdman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |