Nenda kwa yaliyomo

Big Pun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Big Pun

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Christopher Rios
Amezaliwa (1971-11-09)9 Novemba 1971
Asili yake South Bronx, Bronx, New York City, New York, Marekani
Amekufa 7 Februari 2000 (umri 28)
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1991–2000
Studio Loud Records
Ame/Wameshirikiana na Terror Squad, Cuban Link, Triple Seis, D.I.T.C., Brandy, Remy Ma


Christopher Rios (9 Novemba 1971 - 7 Februari 2000) alikuwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Big Punisher au Big Pun. Huyu alikuwa Mpuerto Rico-Mwamerika na alianza kupata umaarufu mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1990 akiwa mjini The Bronx.

Huyu ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki wa hop hop la Terror Squad. Alianza kuonekana kwa mara ya kwanza katika albamu ya The Beatnuts, kwenye nyimbo ya "Off the Books", na katika albamu ya pili ya Fat Joe ya Jealous One's Envy, tena kwenye wimbo wa "Watch Out", alioimba kwa mara ya kwanza akiwa kama msanii wa kujitegemea kufanyakazi na studio ya Loud Records.

Juhudi zake katika muziki zilikujakwisha katika mwaka wa 2000 akiwa na umri wa miaka 28. Big Pun alikufa kwa shinikizo la moyo. Bwana huyu ameacha mke, Liza Rios, na watoto watatu. Anakadiriwa kuwa alifariki akiwa na uzito wa paundi 700 ambazo ni sawa na kilogramu 300. Kila kitu kuanzia kuoga na kuvaa hadi viatu, alikuwa akisaidiwa kufanya shauri ya uzito mkubwa aliokuwa nao.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Albamu za Studio

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina Chati ilizoshika Mauzo na matunukio
U.S. U.S. R&B
1998 Capital Punishment 5 1 Matunukio ya RIAA: 2x Platinamu
2000 Yeeeah Baby 3 1 Matunikio ya RIAA: Platinamu
2001 Endangered Species 7 2 Matunikio ya RIAA: Gold

Akiwa kama mwanachama wa Terror Squad

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Single U.S. Hot 100 U.S. R&B Albamu
1997 "I'm Not a Player" 57 19 Capital Punishment
1998 "Still Not a Player" (akimshirikisha Joe) 24 3
"You Came Up" (akimshirikisha Noreaga) - 49
2000 "100%" 85 - Yeeeah Baby!!!
"It's So Hard" (akimshirikisha Donell Jones) 75 19
2001 "How We Roll" (akimshirikisha Ashanti) - 53 Endangered Species

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Big Pun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.