Bernd Leno
Mandhari
Bernd Leno
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani |
Nchi anayoitumikia | Ujerumani |
Jina katika lugha mama | Bernd Leno |
Jina halisi | Bernd |
Jina la familia | Leno |
Tarehe ya kuzaliwa | 4 Machi 1992 |
Mahali alipozaliwa | Bietigheim-Bissingen |
Lugha ya asili | Kijerumani |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijerumani |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Muda wa kazi | 2009 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Fulham F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 1 |
Ameshiriki | UEFA Euro 2016, Copa Mundial 2028 |
Ligi | 3. Liga, Bundesliga, Ligi Kuu Uingereza |
Tovuti | no value |
Bernd Leno (alizaliwa 4 Machi 1992)[1][2][3] ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani.
Mnamo Mei 2011, Leno alisaini mkataba wake wa kwanza na VfB Stuttgart hadi Juni 2014, baada ya hapo alikwenda Bayer leverkusen, na baada ya miaka miwili alihamia Arsenal.
Marejeo
- ↑ "Bernd Leno: Overview". Premier League. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Bernd Leno: Overview". ESPN. Iliwekwa mnamo 1 Julai 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "FIFA Confederations Cup Russia 2017: List of Players: Germany" (PDF). FIFA. 2 Julai 2017. uk. 4. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 22 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 2022-05-23.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernd Leno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |