Nenda kwa yaliyomo

Benki Kuu ya Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Benki Kuu ya Kenya (1973)

Benki Kuu ya Kenya iko katika mji wa Nairobi. Gavana wa sasa wa benki ni Daktari Patrick Njoroge ambaye alianza kazi mwaka wa 2015. Dr. Njoroge ametekeleza mabadiliko katika Benki Kuu, pamoja na kuimarisha sekta ya uchumi nchini. Jina la benki kwa ufupi ni "CBK".

Benki Kuu ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya kufutwa kwa East Africa Currency Board (EACB).

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki Kuu ya Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.