Arthur Melo
Mandhari
Arthur Melo
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Brazil |
Nchi anayoitumikia | Brazil |
Jina katika lugha mama | Arthur |
Jina la kuzaliwa | Arthur Henrique Ramos de Oliveira Melo |
Jina halisi | Arthur |
Jina la familia | Melo |
Tarehe ya kuzaliwa | 12 Agosti 1996 |
Mahali alipozaliwa | Goiânia |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kireno |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Muda wa kazi | 2015 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Juventus F.C. |
Mchezo | mpira wa miguu |
Namba ya Mchezaji | 18 |
Ameshiriki | 2019 Copa América |
Arthur Henrique Ramos de Oliveira Melo (anayejulikana kama Arthur; alizaliwa 12 Agosti 1996) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Liverpool akitokea kwenye academy ya Gremio mwaka 2017 amesajiliwa Barcelona kwenye dirisha la usajili mwaka 2018/2019.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arthur Melo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |