Nenda kwa yaliyomo

Antili Ndogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Antili Ndogo ni sehemu ya kusini ya pinde la visiwa vya Karibi

Antili Ndogo ni kundi la visiwa vidogo katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Amerika ya Kati. Ni sehemu ya kusini ya Visiwa vya Karibi.

Antili ndogo ina umbo la upinde kati ya pwani ya Venezuela na kisiwa kikubwa cha Puerto Rico.

Jiolojia

[hariri | hariri chanzo]

Upinde huo hufuata mstari wa mpaka wa bamba la Karibi. Visiwa vyote ni vya asili ya kivolkeno. Volkeno hai na mitetemeko ya ardhi ni kawaida.

Orodha ya visiwa

[hariri | hariri chanzo]

Visiwa karibu na pwani ya Venezuela:

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Antili Ndogo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.