Amina Lawal
Mandhari
Amina Lawal Kurami (1972) ni mwanamke wa Nigeria aliyehukumiwa kifo kwa kupigwa mawe kwa uzinzi na kwa kupata mtoto nje ya ndoa. Lawal alihukumiwa na mahakama ya kiislamu ya sharia huko funtua, katika jimbo la kaskazini la Katsina, nchini Nigeria, tarehe 22 machi 2002.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eltantawi, Sarah (2017). Shari'ah on trial : Northern Nigeria's Islamic revolution. Oakland, California. ISBN 978-0-520-96714-4. OCLC 959373674.
{{cite book}}
: CS1 maint: location missing publisher (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amina Lawal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |