Alice Ayres
Mandhari
Alice Ayres (12 Septemba 1859 – 26 Aprili 1885) alikuwa mjakazi wa Uingereza aliyeheshimiwa kwa ujasiri wake kwenye ajali ya moto wa nyumba alipookoa watoto aliokuwa akiwahudumia.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alice Ayres kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |