Alessandro Bazzana
Mandhari
Alessandro Bazzana (alizaliwa Alzano Lombardo, 16 Julai 1984) ni mchezaji wa zamani wa baiskeli wa kitaalamu kutoka Italia.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alessandro Bazzana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |