Nenda kwa yaliyomo

Akiaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya kisiwa cha Akiaki

[1]

Akiaki ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Hao. Eneo la kisiwa ni 1.3 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tepukamaruia. Wakati wa sensa mwaka wa 2012, hakuna watu wakaao kisiwani kwa Akiaki.[2]

  1. Young, J.L. (1899). "Names of the Paumotu Islands, with the old names so far as they are known". Journal of the Polynesian Society. 8 (4): 264–268. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-10. Iliwekwa mnamo 7 Januari 2015. {{cite journal}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Salmond, Anne (2010). Aphrodite's Island. Berkeley: University of California Press. ku. 93. ISBN 9780520261143.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.