Abitor Makafui
Mandhari
Abitor Makafui
Jinsia | mwanamke |
---|---|
Nchi ya uraia | Togo |
Jina katika lugha mama | Abitor Makafui |
Kazi | Mwimbaji, pastor |
Instrument | voice |
Abitor Makafui ni mwanamke, mchungaji, mwanaharakati na mwimbaji wa muziki wa Injili mwenye ulemavu wa viungo wa nchini Togo. [1] Mnamo 2009, alitunukiwa tuzo ya "Kiongozi Mwanamke" kwa kazi yake katika taasisi ya Makafui foundation, asasi ya hisani isiyo ya kiserikali inayosaidia watoto wasiojiweza nchini Togo . [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "David Mawutor adjudged finest Ewe gospel musician in VR". Ghana News Agency. Iliwekwa mnamo 4 Machi 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Jean-Claude Abalo (2009-12-31). "Abitor Makafui, sacrée « Femme leader » du Togo". Afrik (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-04-19.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abitor Makafui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |