AMECEA
Mandhari
AMECEA (kifupi cha Association of Member Episcopal Conferences in East Africa) ni shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki ya nchi nane za Afrika Mashariki: Ethiopia (1979), Eritrea (1993), Kenya (1961), Malawi (1961), Tanzania (1961), Zambia (1961), Sudan (1979), Uganda (1961).
Somalia (1995) na Jibuti (2002) ni watazamaji.
Makao makuu yako Nairobi.
Shirikisho hilo lilianzishwa mwaka 1961 na pamoja na mengine tisa linaunda SECAM (Symposium of Episcopal Conferences of Africa and Madagascar).
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu AMECEA kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |