Nenda kwa yaliyomo

2 Juni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 2 Juni ni siku ya 153 ya mwaka (ya 154 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 212.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Marselino na Petro, Potino, Blandina na wenzake, Erasmo wa Formia, Papa Eujeni I, Niseforo wa Konstantinopoli, Wido wa Acqui, Nikola wa Trani, Dominiko Ninh n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 2 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.