Nenda kwa yaliyomo

WikiFundi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kaondosha yaliyomo
Tags: Blanking Reverted KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
d Masahihisho aliyefanya 2401:4900:5F20:FA85:74FF:325:5397:6389 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:WikiFundi UserGuide V1.pdf|thumb|right|Mwongozo kwa watumiaji (toleo la vanilla)]]
'''WikiFundi''' ni [[programu]] ambayo inatoa mazingira ya kuhariri Wikipedia bila kutumia mtandao wa intaneti. WikiFundi inaruhusu watu kuchangia kuandika makala za Wikipedia hata wakati hakuna mtandao au umeme. Inawezesha watu, makundi na jumuiya kujifunza jinsi ya kuhariri Wikipedia na kufanya kazi kwa kushirikiana. Mara baada ya kukamilika kwa makala na kuwa na mtandao wa intaneti, makala hizi zinaweza kupakiwa kwenye Wikipedia.

Programu hiyo iliundwa kusaidia vuguvugu la [[WikiAfrica]] na wahariri wa kujitolea wa [[Wikimedia]] barani Afrika. Walioiunda ni [[Florence Devouard]] na [[Isla Haddow-Flood]]. Programu inatekelezwa na [[Emmanuel Engelhart (Kelson)]], [[Anthere]] na wanachama wengine wa jamii. Maendeleo ya programu yanasaidiwa na Taasisi ya Orange. Programu ya WikiFundi na nyaraka zake ziko chini ya leseni [[CC-BY-SA 4.0]].

==Viungo vya kupakua programu==
* Toleo la Januari 2017 V1: [http://download.kiwix.org/plug/ wikifundi_mul_200gb_2017-01.img] {{Wayback|url=http://download.kiwix.org/plug/ |date=20171120175141 }}
* Kwa watumiaji wa kompyuta za Macintosh tumiaː [https://www.tweaking4all.com/news/applepi-baker-v1-9-4-update-macos-sierra-beta-2/ Apple-Pi Baker]
* Dokezo: kadi yenye ukubwa wa GB 200 inatakiwa ili kupakua WikiFundi.

'''Tech ReadMe'''
* https://github.com/kelson42/wikifundi

'''Mwongozo wa watumiaji'''
* Kupakua(EN) : [[c:File:WikiFundi UserGuide V1.pdf]]

== Tazama pia ==
* [[w:en:Wikipedia:WikiProject Wikipack Africa]]
* [https://meta.wikimedia.org/wiki/WikiFundi_Resources Mambo mbalimbali kuhusu WikiFundi]
* [https://meta.wikimedia.org/wiki/WikiFundi/Pilot_feedback Maoni kuhusu WikiFundi]
* [https://blog.wikimedia.org/2017/03/10/digest-wiki-fundi/ WikiFundi kwenye blogu ya Wikimedia Foundation]
* [https://vimeo.com/202398781 WMF ED Katherine Maher aisaidia WikiFundi]
* [https://opensource.com/article/17/9/wikifundi-leader-florence-devouard Mwanzilishi wa WikiFundi]
* [[:File:Kiwix Conference 2017 Florence Devouard (English language).webm|Video kuhusu WikiFundi]]
* [http://www.wikifundi.org Tovuti ramsi ya WikiFundi]
[[Jamii:Wikipedia]]

Toleo la sasa la 21:40, 22 Agosti 2024

Mwongozo kwa watumiaji (toleo la vanilla)

WikiFundi ni programu ambayo inatoa mazingira ya kuhariri Wikipedia bila kutumia mtandao wa intaneti. WikiFundi inaruhusu watu kuchangia kuandika makala za Wikipedia hata wakati hakuna mtandao au umeme. Inawezesha watu, makundi na jumuiya kujifunza jinsi ya kuhariri Wikipedia na kufanya kazi kwa kushirikiana. Mara baada ya kukamilika kwa makala na kuwa na mtandao wa intaneti, makala hizi zinaweza kupakiwa kwenye Wikipedia.

Programu hiyo iliundwa kusaidia vuguvugu la WikiAfrica na wahariri wa kujitolea wa Wikimedia barani Afrika. Walioiunda ni Florence Devouard na Isla Haddow-Flood. Programu inatekelezwa na Emmanuel Engelhart (Kelson), Anthere na wanachama wengine wa jamii. Maendeleo ya programu yanasaidiwa na Taasisi ya Orange. Programu ya WikiFundi na nyaraka zake ziko chini ya leseni CC-BY-SA 4.0.

Viungo vya kupakua programu

[hariri | hariri chanzo]

Tech ReadMe

Mwongozo wa watumiaji

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]