Nenda kwa yaliyomo

Televisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo

Grupo Televisa S.A.B. ni kampuni ya vyombo vya habari ya Mexiko na kubwa zaidi katika Amerika ya Kilatini na ulimwengu unaozungumza Kihispania. Ni biashara kuu ya burudani ya kimataifa, na programu zake nyingi zinaonyeshwa nchini Marekani kwenye Univision, ambayo ina mkataba wa pekee.

Vituo vya televisheni

[hariri | hariri chanzo]
  • Las Estrellas - telenovela za Kimeksiko
  • Canal 5 - mifululizo ya televisheni na filamu za kigeni
  • Nueve - telenovela za kigeni
  • Foro TV - habari

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Televisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.