1918
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900 |
Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| Miaka ya 1940
| ►
◄◄ |
◄ |
1914 |
1915 |
1916 |
1917 |
1918
| 1919
| 1920
| 1921
| 1922
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1918 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 28 Mei - Nchi ya Armenia inatangazwa kuwa jamhuri.
- 9 Novemba - Mfalme Mkuu Wilhelm II wa Ujerumani anajiuzulu, na Ujerumani unatangazwa kuwa jamhuri.
Novemba: Mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 23 Januari - Gertrude Elion, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
- 12 Februari - Julian Schwinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 3 Machi - Arthur Kornberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba wa mw. 1959
- 16 Machi - Frederick Reines, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 9 Aprili - Jørn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark
- 20 Aprili - Kai Siegbahn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 25 Aprili - Muhammed Said Abdulla, mwandishi wa Tanzania
- 11 Mei - Richard Feynman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 20 Mei - Edward Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 23 Mei – Jackson Bate, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1964
- 6 Juni - Edwin Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
- 18 Juni - Jerome Karle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
- 14 Julai - Ingmar Bergman, mwongozaji wa filamu kutoka Uswidi
- 15 Julai - Bertram Brockhouse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 18 Julai - Nelson Mandela (rais mstaafu wa Afrika Kusini, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1993
- 29 Julai - Edwin O'Connor, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Julai - Paul Boyer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 13 Agosti - Frederick Sanger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1958
- 2 Septemba - Allen Drury, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1959
- 8 Septemba - Derek Barton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1969
- 27 Septemba - Martin Ryle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974
- 4 Oktoba - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 8 Oktoba - Jens Skou, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1997
- 16 Oktoba - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 9 Novemba - Spiro Agnew, Kaimu Rais wa Marekani
- 10 Novemba - Ernst Otto Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973
- 11 Desemba - Aleksandr Solzhenitsyn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1970
- 23 Desemba - Helmut Schmidt, Waziri Mkuu wa Ujerumani (1974-82)
- 25 Desemba - Anwar Sadat, rais wa Misri, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka 1971
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 8 Februari - Louis Renault, mwanasheria Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1907
- 10 Februari - Ernesto Teodoro Moneta, mwandishi Mwitalia, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1907
- 26 Machi - César Cui, mtunzi wa opera kutoka Urusi
- 4 Juni - Charles Fairbanks, Kaimu Rais wa Marekani
- 10 Septemba - Karl Peters aliyeanzisha Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
- 20 Novemba - John Bauer, mchoraji kutoka Uswidi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: